Huwezi kusikiliza tena

Zimbabwe tayari kwa uchaguzi

Zimesalia siku mbili kabla ya watu nchini Zimbabwe kupiga kura kumchagua rais mpya. Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita , serikali imekuwa ya muungano wa Robert Mugabe na Morgan Tsvangirai ambao ulikuwa unasuasua

Rais Mugabe ana umri wa miaka 89 na amekuwa mamlakani tangu mwaka 1980 na anagombea kwa mara nyingine.