Huwezi kusikiliza tena

Wiki ya kuhamasisha akina mama kunyonyesha

Dunia inaadhimisha wiki ya umuhimu wa kuwanyonyesha watoto. Mwaka huu mada kuu ni kutoa mazingira mazuri katika kuwasaidia wanawake kufanikisha jukumu hilo muhimu.

Nchini Kenya shirika moja limejitolea kuwasaidia akina mama waathiriwa wa HIV kuwanyonyesha watoto wao kwani wakati serikali inaposema akina mama wanyonyeshe miezi sita mfululilzo na wao wako katikan fungu hilo.

Je wanasaidika vipi? Zainab Deen ametuandalia taarifa hii.