Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi wa vuta nikuvute Zimbabwe

Vituo vya upigaji vilifungwa rasmi Jumatano jioni nchini Zimbabwe. -Katika kile kinachotajwa kuwa uchaguzi wa vuta nikuvute, Rais anayetetea kiti chake Robert Mugabe anatafuta nafasi nyingine tena.

Amesema ataachia ngazi iwapo atapoteza. Mpinzani wake, Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai amekituhumu chama cha Mugabe cha Zanu-PF kwa kufanyia mabadiliko orodha ya wapiga kura, madai ambayo yamekanushwa. Hassan Mhelela yuko Zimbabwe