Huwezi kusikiliza tena

Chanjo ya Malaria yanukia

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua chanjo mpya ya ugonjwa wa Malaria ambapo mtu anadungwa vimelea hafifu vinavyosababisha Malaria ili kuzuia mtu kuambukizwa ugonjwa huo na hivyo kumpa kinga.

Chanjo hii inasemekana kukinga mwili kwa asilimia moja kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kama anavyosimulia Dayo Yusuf