Huwezi kusikiliza tena

Maisha ya wanajeshi watoto

Watoto wanaolazimishwa kujiunga na jeshi katika nchi zenye mapigano huwa wanapitia wakati mgumu.

Hukabiliwa na safari ndefu ya kujaribu kurejea katika maisha ya kawaida wanapofanikiwa kutoroka. Shirika moja la misaada Kaskazini mwa Uganda, katika wilaya ya Gulu linasaidia wapiganaji wa zamani ambao walichukuliwa wakiwa watoto, kuweza kurejea katika jamii.

Ali Saleh anasimulia.