Huwezi kusikiliza tena

Unamkumbuka Awilo Longomba?

Image caption Awilo Longomba

Baada ya kuwa kimya kwa miaka mingi, Awilo Longomba ameibuka ka wimbo mpya.

Naam sasa tukutane na mtu ambaye amekuwa kimya kwa muda kidogo. Mkongomani Awilo Longomba ni moja ya wasanii maarufu kwa miondoko ya kikongo. Je anakuja na wimbo mpya? Salim Kikeke amezungumza naye.