Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini Ruto alifikishwa ICC?

Naibu rais wa Kenya William Ruto ni afisaa wa kwanza wa ngazi ya juukufikishwa mbale ya mahakama ya kimataifa ya ICC.

Amekanusha madai ya mauaji, kuwandosha watu mawako kwa nguvu na mateso.

Je Bwana Ruto alifika vipi ICC