Huwezi kusikiliza tena

Mnigeria ajishindia Muslima 2013

Amefanikiwa kuwashinda washindani wengine 20 kwenye mashindano ya mwanamke mrembo muisilamu ya Muslima mwaka 2013.

Obabiyi Aishah Ajibola mwenye umri wa miaka 21, alitakiwa kuonyesha imani yake katika dini kuanzia kwa kuvalia hijab, kuswali, kusoma Qurani , mitindo yake ya mavazi, pamoja na maadili yake kama mwanamke wa kiisilamu ili kujinyakulia ushindi kwenye mashindano hayo yalioandaliwa mjini Jakarta Inndonesia.

Alizungumza na BBC kuhusu alivyojihisi baada ya kushinda.