Huwezi kusikiliza tena

Iran:Mzozo wa nuklia utakwisha

26 Septemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 12:19 GMT

Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema kuwa ana matumaini ya kusitisha mzozo kuhusu mpango wa Nuklia kati ya Iran na mataifa ya Magharibi katika kipindi cha kati ya miezi mitatu hadi sita.

Rouhani amesema kuwa Iran iko tayari kuwa wazi ili kuihakikishia jamii ya kimataifa kwamba haina mpango wa kutengeneza silaha za Nuklia.

Kiongozi huyo alikuwa akizungumza na vyombo vya habari vya marekani kabla ya kuanza kwa mazungumzo ya Nuklia baadaye hii leo.

BBC Imekusanya maelezo ya asisi ya silaha za Nuclear na ni nani wanao miliki au kushukiwa kumiliki