Huwezi kusikiliza tena

13 wafariki katika ajali ya ndege Nigeria

Angalau watu 13 wameuawa nchini Nigeria baada ya ndege ya abiria kuanguka muda mfupi baada ya kuruka kutoka katika uwanja wa kimataifa wa ndege mjini Lagos.