Huwezi kusikiliza tena

Utangamano wa wasomali na wakenya

Shambulio la kigaidi la Westgate nchini Kenya, limeangazia uhusiano baina ya dini na jamii tofauti zinazoishi katika pembe ya Afrika.

Jijini Nairobi kuna idadi kubwa wa Wasomali Wakenya pamoja na wakimbizi, wengi wao wakiishi katika mtaa wa Eastleigh.

Mwandishi wa BBC Anne Soy alitembelea mtaa huo kupata hisia za wenyeji kufuatia mauaji na utekaji nyara ulioendelea kwa siku nne.