Huwezi kusikiliza tena

Waangamia katika safari ya Ulaya

Ni kisiwa kilicho karibu zaidi na pwani ya Afrika Kaskazini, kikilinganishwa na umbali kati yake na Italia.

kisiwa cha Lampedusa, kilikuwa kama chumba cha muda mfupi cha kuhifadhia maiti, kufuatia wingi wa maiti, baada ya boti iliyokuwa na wahamiaji kutoka Afrika kuzama.

Taarifa za hivi punde zinaaelezea wengi katika boti hiyo walikuwa ni raia wa Eritrea na Somalia.

Alex Mureithi anaarifu zaidi.