Huwezi kusikiliza tena

Vijana walijifunza nini Afrika Kusini?

Huenda wakwa viongozi wetu wa kisiasa na kibiashara katika siku za usoni.

Na walifika katika kongamano la vijana mjini Johannesburg lenye kauli mbiu, "One Young World summit" --kongamano kubwa zaidi la vijana duniani.

Wajumbe walitoka katika nchi 54 barani Afrika kuhudhuria kongamano hilo la wiki mbili. Je walijifunza nini?