Huwezi kusikiliza tena

Safari ya kukutana na Taliban

Marekani itamzawidi dola milioni tano yeyote mwenye taarifa kumhusu kwani yeye ni miongoni mwa watu wanaosakwa sana na Marekani duniani.

Lakini Hakimullah Mehsud, kiongozi wa kundi la wapiganaji la Taliban nchini Pakistan, amekubali kuongea na BBC.

Na aliyoyasema huenda yakatikisa siasa za Pakistan.