Huwezi kusikiliza tena

Wanawake na sanaa, je wamekwea mlima?

Sanaa ya muziki imekuwa ikisifika na kujulikana kuwa ukumbi wa wanaume lakini msanii Lady Jaydee wa TZ anawika sana na anasema wanawake wapo kudumu. Baruan Muhuza alizungumza na Lady Jaydee kujua alivyofanikiwa kuukwea mlima wa sanaa Tanzania