Huwezi kusikiliza tena

Haramia sugu alivyohadaiwa na kukamatwa

Alihadaiwa kuwa alitakiwa kuwa mshauri kuhusu maswala ya uharamia katika filamu mpya kuhusu maisha yake kama haramia wa kisomali.

Mohammed Abdi Hassan, anayejulikana kama 'Big Mouth', hangeweza kuthubutu kuikosa fursa hiyo, lakini punde tu alipokubali, alikamatwa na kuzuiliwa katika uwanja wa kimataifa wa ndege mjini Brussels.

Kwa sasa amezuiliwa kuhusu kuhusika kwake katika kuiteka meli ya Ubelgiji mwaka 2009.