Huwezi kusikiliza tena

Sekta ya magari yainuka A. Kusini

Baadaye wiki hiiAfrika Kusini itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kimataifa ya magari.

Maonyesho hayo yatafanyika mjini Johannesburg na yatayokuwemo ni pamoja na watengeza magari kuonyesha miundo ya magari ambayo yanafaa kutumika katika mataifa ya kiafrika.

Licha ya msukosuko wa kiuchumi, sekta ya magari,imeoenekana kujikaza kisabuni kusalia sokoni kiasi cha kupanda kwa asilimia 5 katika miaka michache iliyopita.

Lakini ushindani ni mkali kama inavyosimulia taarifa hii.