Huwezi kusikiliza tena

Jaribio la WiFi baharini

WiFi inapatikana chini ya bahari Erie. Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kilifanya majaribio ya WIFI chini ya maji wiki hii. Watafiti walitumia laptop zao kupokea data kuhusu bahari hiyo wakitumia sensa mbili zilizokuwa zimezamishwa baharini. Haya na mengineyo katika fani ya teknolojia haya hapa