Huwezi kusikiliza tena

Jukwaa jipya kwa sanaa Afrika

Kazi za Sanaa kutoka Afrika zinaanza kupata jukwaa jipya. Hii ni nafasi ya kipekee kwa kukuza na kutangaza kazi za wasanii waliobobea na hata vipaji vipya. Salim Kikeke alitembelea maonyesho hayo.