Huwezi kusikiliza tena

Magaidi walivyowaua wakenya Westgate

Picha mpya za CCTV zimeonyesha magaidi wakiwapiga risasi wakenya waliokuwa katika jumba la Westgate wakati jengo hilo liliposhambuliwa zaidi ya siki tatu zilizopita.

Risasi zilionekana hewani zikiwa zinawalenga wanunuzi waliokuwa wanaendelea na shughuli zao za kawaida.