Huwezi kusikiliza tena

Wanadada wa Twanga Pepeta wapepea TZ

Katika mfululizo wetu wa makala zetu za kuwaenzi wanawake 100, tunaitazama bendi ambayo imeweza kukabiliana na yote na bado iko imara--African stars kwa zaidi ya mwongo mmoja imeendelea kuwatumbuiza raia wa Afrika mashariki katika mtindo wake wa 'twanga pepeta'.

Muasisi na meneja wa bendi ni mwanamke, Bi Asha Baraka je ameweza kukabiliana vipi katika ulingo huu unaohusishwa zaidi na wanaume.

Tulanana bohela amezungumza nae na kutuandalia taarifa hii.