Huwezi kusikiliza tena

Nani kuichimba gesi Tanzania?

Mwaka jana, Tanzania iligundua gesi asilia ardhini katika takriban mita za mraba trilioni 35, itakayotosheleza mahitaji ya ndani kwa miaka 100 ijayo.

Kusini mashariki mwa mkoa wa Mtwara, inakisiwa kuna asilimia 14 ya gesi asilia, na kumejengwa mabomba ya gesi yenye thamani ya dola milioni moja, mradi unaofadhiliwa na Serikali ya China utakaokamilika mwaka 2015.

Tulanana Bohela anaarifu zaidi.