Huwezi kusikiliza tena

Wafaransa huru Niger baada ya miaka 3

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, mapema wiki hii aliwakaribisha nyumbani raia wanne wa nchi hiyo waliokuwa wanashikiliwa mateka katika jangwa la Sahara na wapiganaji wanaohusishwa na Al Qaeda.

Walitekwa nyara miaka mitatu iliyopita, kaskazini mwa Niger, ambako kampuni yao ina mgodi wa urani.

Alex Mureithi ana maelezo zaidi.