Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini usawa wa kijinsia haujatimia?

Baada ya wiki tatu za taarifa maalum kuhusu maendeleo ya wanawake duniani, BBC ilifanikiwa kukamilisha mpango huo kwa kuwakaribisha wanawake mia moja kutoka nchi tofauti mjini London.

Wakati huo huo, ripoti mpya iliyotolewa na shirika la World Economic Forum wiki hiyo, ilionyesha tofauti ya kijinsia kwa maisha hasa namna rasilimali na nyadhifa zinavyogawanywa kati ya wanaume na wanawake katika sekta nne.

Kiuchumi, ki elimu, kisiasa na ki afya.

Zuhura Yunus na taarifa zaidi