Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa Kericho

Mjadala huu uliangazia masaibu ya wakulima wadogo wadogo wa chai katika kaunti ya Kericho. Wakaazi na viongozi wa Kericho walijadili kupanda na kushuka kwa bei ya chai, hali duni ya barabara na utawala wa Kericho.