Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa Usawa wa Kijinsia

Mjadala huu ulimulika wanawake uongozini, ukiangazia mchango wao, na changamoto wanazopata. Sera za usawa wa wanawake katika mfumo wa serikali za ugatuzi pia zilijadiliwa.