Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa Usawa wa Kijinsia

5 Januari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 07:11 GMT

Mjadala huu ulimulika wanawake uongozini, ukiangazia mchango wao, na changamoto wanazopata. Sera za usawa wa wanawake katika mfumo wa serikali za ugatuzi pia zilijadiliwa.