Huwezi kusikiliza tena

Unyayo unavyoweza kumuokoa mtoto

Picha ya nyayo za mtoto mchanga inaweza kuokoa maisha.

Wanasayansi kutoka chuo cha London school of hygiene and tropical medicine wameandaa utaratibu utakaosaidia kina mama kujua kama watoto wao anahitaji msaada wa dharura ki afya.

Watoto wengi wanapozaliwa hasa vijijini inakua vigumu kupata misaada inayoambatana na mahitaji yao hasa wakiwa wamezaliwa kabla ya wakati wao.

Tulanana Bohela ametuandalia hii