Huwezi kusikiliza tena

Ana kwa ana na Jonathan Pitroipa

Nina furaha sana kuwa miongoni mwa wale wanasoka watano walioteuliwa. Hiyo inanipa motisha

Matumaini yangu ni kuwa mashabiki wangu watafurahia sana , hasa wale walio nchini Burkina Faso, wataniunga mkono

Wana ndoto ya kuona mmoja wa wachezaji wao akiwa mchezaji bora zaidi barani Afrika.