Huwezi kusikiliza tena

Ana kwa ana na Jonathan Pitroipa

19 Novemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 16:12 GMT

Nina furaha sana kuwa miongoni mwa wale wanasoka watano walioteuliwa. Hiyo inanipa motisha

Matumaini yangu ni kuwa mashabiki wangu watafurahia sana , hasa wale walio nchini Burkina Faso, wataniunga mkono

Wana ndoto ya kuona mmoja wa wachezaji wao akiwa mchezaji bora zaidi barani Afrika.