Huwezi kusikiliza tena

Matofali yatatiza uokozi SA

21 Novemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 07:35 GMT

Jitihada za uokoaji zimesitishwa kwa muda baada ya paa la jengo la maduka lililokuwa linajengwa kuporomoka nchini Afrika Kusini.

Msemaji wa Polisi Thulani Zwane ameiambia BBC kwamba kazi ya kuwatafuta watu walionusurika itaanza tena baada ya kuondoa baadhi ya matofali.