Huwezi kusikiliza tena

LG matatani kuhusu faragha

Kampuni ya televisheni, ya LG inachunguza madai kuwa baadhi ya tevisheni zake zinatuma taarifa kwa kampuni hiyo kuhusu zinavyotumiwa na wanaozimiliki, licha ya watumiaji kuhakikisha kuwa faragha zinalindwa.