Huwezi kusikiliza tena

Hotuba ya Mandela kwa dunia

8 Disemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 09:59 GMT

Tarehe tatu mwezi Februari mwaka 1962, Nelson Mandela alitoa hotuba yake ya kwanza ya kimataifa. Alikuwa anahutubia kongamano la viongozi wa kiafrika nchini Ethiopia ili kutafuta uungwaji mkono wa harakati za ANC za ukombozi...na hivi ndivyo mambo yalivyokwenda