Huwezi kusikiliza tena

Mama Swai:Mandela alinifunza uvumilivu

Haya ni mahojiano na Bi Vicky Nsilo Swai mkewe marehemu Nsilo Swai, ambaye ni waziri katika serikali ya Tanzania.

Kwnye haya mahojiano anakumbuka alivyokutana na Nelson Mandela na anazungumzia maisha yake.