Ugatuzi wa Huduma za Afya

1 Disemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 12:05 GMT

Mjadla huu ulichunguza jinsi ugatuzi wa huduma za afya utaathiri Wakenya.
Kipindi cha Sema Kenya kinapeperushwa kila Jumapili katika redio ya BBC Swahili na runinga ya KBC Channel 1.
Mjadala huu uliongozwa na wananchi ambao walipata nafasi ya kuwauliza viongozi maswali ana kwa ana.
Watazamaji walipata nafasi ya kuwauliza watayarishi wa kipindi maswali mengi.
Viongozi na madaktari walialikwa kujibu maswali ya wananchi.
Mjadala huu ulimulika athari za ugatuzi wa huduma za afya.
Nafasi ya kuboresha huduma za afya pia ilijadiliwa.
Wakenya kutoka sehemu mbali mbali za nchi walihudhuria huu mjadala.
Sema Kenya sasa upo katika msimu wa pili.