Huwezi kusikiliza tena

Chuki dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini

Chuki dhidi ya wahamiaji kutoka nchi zingine linaendelea kukita mizizi nchini Afrika Kusini.

Mwaka 2008 kulitokea ghasia kwenye vitongoji vya mji mkuu wa Johannesburgh , wenyeji waliposhambulia wahamiaji wakiwaita Makwerekwere.

Leo, Miaka mitano baadaye, wahamiaji wafanyabiashara kutoka Somalia, Pakistan na Bangladesh wamekuwa wanashambuliwa, wakilaumiwa kunufaika kutokana na huduma za umma zinazotolewa bure kwa maskini. Mwezi huu wengi wameachwa bila makao.

Peter Musembi na maelezo zaidi.