Huwezi kusikiliza tena

Jukwaa la waekezaji TZ, lazinduliwa

Soko la hisa la Dar Es Salaam Tanzania limezindua jukwaa linalowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji pamoja.

Lengo kuu ni kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kuongeza mitaji na kupata mikopo ambayo benki za biashara zimeshindwa kuwapatia.

Kutoka Jijini Dar Es Salaam,mwandishi wa BBC Tulanana Bohela anaarifu