Huwezi kusikiliza tena

Yaya Toure ndiye bingwa Afrika

Yaya Toure alikuwa mmoja wa wanasoka walioteuliwa kuwania tuzo la mwanasoka bora zaidi barani Afrika baada ya kinyang'anyiro kikali. Toure alielezea hisia zake kwa ushindi huo