Huwezi kusikiliza tena

Nyayo za Mandela Ethiopia

13 Disemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 18:52 GMT

Hayati Mandela wakati wa uhai wake, alitembelea sehemu nyingi duniani.

Lakini mahala pa kwanza alipotolea hotuba yake kwa dunia ilikuwa Ethiopia ambako Tesfaye alikuwa mmoja wa watu waliokutana uso kwa uso na Mandela, na anasimulia kumbukumbu alizonazo kuhusu shujaa huyo wa Afrika Mandela