Huwezi kusikiliza tena

Mazishi ya Mandela Qunu

15 Disemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 11:10 GMT

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu, katika mkoa wa Cape Mashariki.

Maelfu ya waombolezaji walihudhuria mazishi hayo ikiwemo viongozi wa kisiasa na maafisa kadhaa wa kidiplomasia.