Shabiki wa Sema Kenya

Mjadala wa Miaka 50 ya Kenya

Image caption Adan Cassim

Kenya imejitawala kwa miaka 50 sasa baada ya kupata uhuru mwaka wa 1963. Ni matatizo yapi ambayo yanaikumba nchi na kuikosesha kuendelea zaidi?

Maoni yake Cassim: “Nautazama mjadala. Napenda jinsi Mzee Kahengeri anachangia mjadala lakini, ufukara, ujinga wa kutojua bado u nasi. Kwa maoni yangu ufisadi na ubinafsi ndio kikwazo cha ufanisi katika nchi yetu.” Adan Cassim kupitia Facebook