Maadhimisho ya Mandela
Huwezi kusikiliza tena

Uhusiano wa Mandela na Tanzania

Tanzania ni mojawapo ya mataifa yaliochangia sana katika juhudi za chama cha ANC wakati wa vita vya kuikomboa Afrika Kusini kutoka mikononi mwa makaburu. Hassan Mhelela anaangalia uhusiano huu.