Huwezi kusikiliza tena

Uhusiano wa Mandela na Tanzania

20 Disemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 19:34 GMT

Tanzania ni mojawapo ya mataifa yaliochangia sana katika juhudi za chama cha ANC wakati wa vita vya kuikomboa Afrika Kusini kutoka mikononi mwa makaburu. Hassan Mhelela anaangalia uhusiano huu.