mtaa wa Soweto, chemi chemi ya harakati za ukombozi
Huwezi kusikiliza tena

Nyumba ya kwanza ya ukombozi wa SA

Mandela amemaliza safari yake duniani, lakini alianzia wapi harakati zake za ukombozi wa Afrika Kusini, tutakupeleka katika nyumba yake ya kwanza alipoanzia harakati hizo. Omar Mutasa ataiongoza safari yake katika nyumba yake ya Vilakazi Soweto.