watu wa nchi mbali mbali wakusanyika Afrika Kusini
Huwezi kusikiliza tena

Wahamiaji wanufaika Afrika Kusini

Baada ya Nelson Mandela kuachiliwa huru, Afrika Kusini ilibadilika, si tu kwa raia wa nchi hiyo, lakini kwa Waafrika wengine waliohamia nchini humo kwa matumaini ya kupata maisha bora. Zuhura Yunus alitembelea eneo moja hapa Johannesburg ambalo limekuwa maarufu sana kwa wahamiaji.