Huwezi kusikiliza tena

Msanii yupi atawika 2014?

Mwaka mpya mambo mapya. Je ni msanii gani atawika mwaka huu wa 2014? Ungana na DJ Edu kutoka BBC Radio 1Xtra akitazama mwelekeo wa wasanii wa Afrika ambao muziki wao huenda ukapata umaarufu mwaka huu. Utabiri wako ni upi? tujulishe kupitia ukurasa wetu wa facebook bbcswahili