Huwezi kusikiliza tena

Nani mwanasoka bora zaidi Afrika?

Wachezaji nyota wa Ivory Coast, Yaya Toure na Didier Drogba, na John Obi Mikel wa Nigeria leo hii watajua nani kati yao atatwaa tuzo la mchezaji bora wa kandanda barani Afrika mwaka jana wakati mshindi atakapotangazwa mjini Lagos, Nigeria...........John Nene anadundadunda uwanjani na mengi zaidi..