Huwezi kusikiliza tena

Raia wa S.Kusini wapata afueni UG

10 Januari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 15:50 GMT

Huku mzozo wa Sudan Kusini ukizidi kutokota, na mazungumzo ya amani mjini Addis Ababa kwenda mwendo wa kobe, maelfu ya wakimbizi wanaendelea kuvuka kuingia Uganda. Mwandishi wetu Kassim Kayira yuko katika kambi ya Dzaipi, kaskazini mwa Uganda.