Huwezi kusikiliza tena

Watoto wafelishwa na nini Z'bar?

Tanzania inakabiliwa na Changamoto kadhaa katika mfumo wake wa Elimu. Haba na Haba Tv ilikwenda Pemba kisiwani Zanzibar na kukutana na wanafunzi wa shule ya msingi Mitulaya ambao waliitumia fursa hiyo kujieleza changamoto zinazowakabili na hatimae kujibiwa na viongozi husika.