Huwezi kusikiliza tena

'Nilimtafuna binadamu kulipiza kisasi'

Mapigano ya kidini katika Jamhuri ya Afrika ya Kati yaanazidi kuchukua sura mpya. Katika tukio la aina yake Mwislam mmoja ameuawa na kundi la Wakristo katika mji mkuu wa Bangui.

Mtu mmoja ameonekana akitafuna mwili wa mtu huyo aliyeuawa. Wakati huohuo kuundwa kwa serikali mpya kunaleta matumaini ya kusimamisha ghasia.

Dayo Yusuf anatuarifu zaidi.